About Our Diocese

The Anglican Diocese of Victoria Nyanza, part of the Anglican Church of Tanzania, serves the regions around Lake Victoria, including Mwanza ,Geita and part of Simiyu.

Background

Birth of the Diocese of Victoria Nyanza

The Diocese of Victoria Nyanza was officially established on March 13, 1963, when Assistant Bishop Wiggins was consecrated and enthroned at St. Paul’s Church, Kirumba, as the first Bishop of the Diocese of Victoria Nyanza. Bishop Wiggins assumed office during a time of significant political and spiritual transition..

The major changes of that year were related to both political and spiritual shifts.The second Bishop of DVN, who succeeded Wiggins on June 27, 1976, was John Oswald Rusibamayila. Bishop John Rusibamayila was born into a non-Christian family on June 27, 1926. His calling to greater ministry came in 1961 while he was the headteacher of Williamson Primary School in Mwadui, Shinyanga. Bishop Wiggins ordained him as a deacon on June 13, 1971, and six months later, on December 26, 1971, he was ordained as a priest.

Recognizing John’s leadership and service potential, Bishop Wiggins appointed him as his assistant in early 1973, and five months later, on June 17, 1973, consecrated him as Assistant Bishop of DVN. To further equip him, Wiggins sent John to England for Church Leadership studies from 1973 to 1975.

One of Bishop John’s major achievements was increasing the number of parishes from 27 to 53 and dividing the Diocese to create new ones:Kagera Diocese was officially formed on August 11, 1985, with Christopher Ruhuza as its first Bishop.

Mara Diocese was established on August 18, 1985, with GershonNyaronga as its first Bishop.

After the division, the remaining DVN area continued spreading the Gospel in the regions of Shinyanga, Mwanza, Geita, and Simiyu. Through the DVN Synod, Bishop John Rusibamayila moved the diocesan seat from St. Paul’s Church, Kirumba, to Nyamagana, after constructing a large church building – St. Nicholas Cathedral.

Bishop John passed away on May 16, 1991, and was buried inside St. Nicholas Cathedral, Nyamagana, on May 26, 1991.

On May 27, 1991, a day after Bishop John’s burial, the election of a new bishop was held. Rev. John Paul Changaye was elected as the Bishop-elect. He was born in Mkuzi, Muheza, Tanga, on July 31, 1942, and served from 1991 to 2006.Boniface Kwangu, the fourth bishop of DVN, was born in 1964 in Itabagumba, Sengerema, Mwanza, into the family of William Kwangu. He began his primary education at Itabagumba Primary School and completed his secondary education at Lake Secondary School, Mwanza. After completing Form Four, he joined Mkwawa Secondary School in Iringa for A-levels. Upon finishing Form Six, Boniface Kwangu enrolled at Mkwawa Teachers’ College in Iringa..

In 1995, Rev. Boniface was given an opportunity to pursue higher education in the United Kingdom. After completing his studies, he returned to his diocese and served God by overseeing the Christian Education Department in Schools. He was later appointed as one of the trainers at St. Philip’s College in Kongwa, Dodoma. After leaving Kongwa, he became a parish priest at Mwadui in the Diocese of Shinyanga.

In 2007, Rev. Boniface was elected as the fourth bishop of the Diocese of Victoria Nyanza and was consecrated on November 18, 2007. After his consecration, the diocese flourished and experienced stability, which enabled the restoration of the Bishop’s Office, which at one point had been occupied by a private investor.Bishop Boniface was well received and accepted by people across the diocese as their leader. He continued to serve God faithfully, conducting pastoral visits throughout his diocese. He was also among the bishops who educated and mentored other church workers, and he maintained good relations with Isamilo International School, helping to secure the school’s boundaries and increase its student population.

However, during his leadership, conflicts arose again. This situation ultimately led Bishop Boniface, the fourth bishop, to retire on December 10, 2017.

Purpose

To enable individuals and communities to experience life in its fullness through evangelism, worship, prayer, pastoral care, theological reflection, and social services.

Core Values

Faith in Christ: Commitment to the teachings and lordship of Jesus Christ.

Love: Embracing the commandment to love one another.

Integrity: Upholding honesty and moral uprightness.

Honouring God: Living in a manner that glorifies God.

Professionalism: Approaching ministry and service with competence and excellence.

Organizational Structure

The Diocese operates under the Episcopal polity, with the Archbishop of Tanzania serving as both Metropolitan and Primate.

Our Mission & Vision

Mission

A sustainable Church working together effectively for the growth of God’s Kingdom through prayer, worship, preaching, teaching, pastoral care, and social services.

Vision

To proclaim the Kingdom of God through spiritual and socio-economic transformation and empowerment of individuals and communities to experience the fullness of life in God.

DVN Bishops

RT REV. AMOS ZEPHANIA NTUZA

ASKOFU WA SASA

ASKOFU WA TANO WA DAYOSISI YA VICTORIA NYANZA 16/05/2021 HADI SASA

RT REV. BONIPHACE WILLIAM KWANGU

AKOFU WA NNE

ASKOFU WA NNE WA DAYOSISI YA VICTORIA NYANZA 18/11/2007 HADI 10/12/2017

RT REV. JOHN CHANGAE

AKOFU WA TATU

ASKOFU WA TATU WA DAYOSISI YA VICTORIA NYANZA 22/02/1993 HADI 28/02/2007

RT REV.JOHN OSWALD RUSIBAMAYILA

AKOFU WA PILI

ASKOFU WA PILI WA DAYOSISI YA VICTORIA NYANZA 27/6/1976 HADI 1991

RT REV. MAXWELL LESTER WIGNNIS

AKOFU WA KWANZA

ASKOFU WA KWANZA WA DAYOSISI YA VICTORIA NYANZA 16/3/1963 HADI 27/6/ 1976

News & Events

Uzinduzi Gari Jipya la Askofu(DVN)

Ujenzi wa Chuo Kikuu Nyakato

CCF(DVN)

DVN Departments

  • IDARA YA UTUME NA UINJILISTI DAYOSISI YA VICTORIA NYANZA

    Idara ya utume na uinjilisti ni kitengo cha Kanisa, kazi yake ni kuratibu shughuli zote za huduma za kiroho na kusimamia utekelezaji wa huduma za kuwaleta watu kwa Yesu. Idara inafanya kazi na Parishi zote na makanisa madogo na vikundi vyote Kanisani katika Dayosisi.

    DIRA

    Kuwa chombo cha huduma za Injili yenye Matokeo bora katika Dayosisi ya Victoria Nyanza ikijumuisha maisha yote ya watu Kiroho na kimwili tukitumia mafundisho sahihi ya Neno la Mungu.

    DHAMIRA

    Ni kuratibu na kutekeleza huduma za mikutano, semina, makongamano, sinema na warsha mbalilmbali na vipindi vya maombi na maombezi tukiongozwa na misingi sahihi ya Imani.

    LENGO

    Kuongeza waumini wapya makanisani.

    Kupanda makanisa mapya.

    Kuwafundisha waumini kumtegemea Mungu ili waweze kukabiliana na changamoto za maisha wanapozipitia.

    Kuandaa wahudumu wapya watakaoendeleza kuduma za neno la Mungu katika Dayosisi. Na kusambaza maandiko yanayowasaidia waumini katika Ibaada zao na kujisomea ili kupata ufahamu sahihi wa Neno la Mungu.

    HUDUMA TUNAZOTOA

    Kufanya mikutano ya Injili.

    Kufanya uinjilisti wa nyumba kwa nyumba.

    Ibaada za maombi na maombezi pamoja na mikesha.

    Kufanya matendo ya huruma kwa wahitaji. Mf. shule,hospitali, magereza, na walemavu. n k.

    Kuonesha SINEMA za misha ya Yesu na za mafundisho ya Kiroho.

    Pia tunaunga mkono Makanisa yanayojengwa.

    Pia tunakaribisha ushirikiano na mashirika mbalimbali ya misaada na wahisani wanaosikia wito kutumika nasi na wanaojishughulisha na huduma kama yetu.

    Kama unataka kushirikiana nasi tumia njia zifuatazo:-

    Barua pepe : kashirimuandrew@gmail.Com

    Simu namba : 0750256046 / 0762256096

    Ofisi zetu zipo :(Nyamagana – Mwanza) DVN OFFICE.

    MRATIBU UTUME NA UINJILISTI – DVN:Rev. Can. Andrew Kashilimu
  • IDARA YA UGAVI NA MANUNUZI

    Idara ya ugavi na manunuzi ni Idara maalum inayosimamia manunuzi na uuzaji wa mali za Dayosisi kulingana na utaratibu wa wa Idara ya fedha.

    DIRA

    Kuleta ufanisi na kutoa huduma kwenye Nyanja za mununuzi,utunzaji na usambazaji wa bidhaa na huduma mbalimbali zinazohitajika kwa ajili ya Dayosisi.

    DHAMIRA

    Kufuatilia na kuhakikisha michakato ya ununuzi na taratibu zake zinafuatwa kwa mujibu wa sheria ya ununuzi.

    LENGO

    Kutoa utaalam na huduma za Ununuzi na Ugavi.

    MAJUKUMU YA IDARA YA UGAVI NA MANUNUZI

    Kusimamia majukumu yote ya manunuzi.

    Kushauri manunuzi ya Dayosisi.

    Kuandaa orodha ya mahitaji ya Idara na vitengo.

    Kuratibu manunuzi na uuzaji mali za Dayosisi.

    Kufuatilia na kuhakikisha michakato ya ununuzi na taratibu zake zinafuatwa kwa mujibu wa sheria.

    Kama unataka kushirikiana nasi tumia njia zifuatazo:-

    Barua pepe : info@anglicandvn.org

    Simu namba :

    Ofisi zetu zipo :(Nyamagana – Mwanza) DVN OFFICE.

    Gevosta Kyando:Mkuu wa Idara ya Ugavi na Manunuzi
  • IDARA YA MAENDELEO

    Idara ya Maendeleo ni mojawapo wa Idara kati ya Idara nne (4) zilizopo katika kanisa Anglikana Dayosisi ya Victoria Nyanza. Idara hii ina wajibu wa kuratibu na kusimamia shughuli zote za maendeleo ya kijamii na kiuchumi katika dayosisi.

    Idara ya maendeleo ilianzishwa kwa lengo la kuhakikisha kuwa kanisa linashiriki kikamilifu katika kuinua ustawi wa waumini na jamii nzima kwa ujumla, kwa kufuata mafundisho ya Kikristo yanayosisitiza upendo, utu na kazi. Katika kutekeleza wajibu wake, Idara inajishughulisha na Kubuni, kuandaa, kutekeleza na kutathimini miradi na program za kujiletea maendeleo kwa kutumia rasilimali za ndani na nje.

    DHAMIRA

    Kuhakikisha kuwepo maendeleo ya kijamii na kiuchumi kwa kutoa huduma za ushauri na uratibu wa miradi hivyo kujenga mazingira bora ya kufanya kazi kwa Dayosisi na wadau wengine.Dhamira hii inasisitiza waumini na watu kujitegemea na kuboresha maisha yao kwa kutumia rasilimali zilizopo, na maendeleo hayo yanaendana na misingi ya haki, upendo, na uwajibikaji.

    SHUGHULI ZA IDARA YA MAENDELEO

    Kuunganisha nguvu za jamii, kanisa na serikali kupambana na umasikini.

    Kuongoza na kusimamia utekelezaji wa mipango na miradi ya maendeleo.

    Kusimaia utekelezaji wa sera mbalimbali.

    Kusaidia shughuli zote zinazohusu ustawi wa wafanyakazi wa DVN.

    Kufanya kazi zote kama atakavyoelekezwa /agizwa na katibu wa Dayosisi.

    HUDUMA TUNAZOTOA

    Idara ya Maendeleo ya Dayosisi ya Nyanza Victoria inatoa huduma mbalimbali zenye lengo la kuinua hali ya maisha ya watu, ambazo ni pamoja na:

    a) Huduma za Uwezeshaji wa Kiuchumi

    Kutoa mafunzo ya ujasiriamali kwa vikundi vya wanawake na vijana, na waumini.

    Kuanzisha na kusimamia miradi midogo ya uzalishaji mali (mfano: ufugaji, kilimo cha kisasa, ushonaji, useremala n.k.).

    Kuwezesha upatikanaji wa mikopo midogo kupitia vikundi vya Vicoba na SACCOS.

    b) Huduma za Elimu na Uhamasishaji

    Kuelimisha jamii kuhusu umuhimu wa maendeleo ya kijamii na kiuchumi yanayozingatia maadili ya Kikristo.

    Kutoa semina na warsha za kujenga uwezo katika maeneo ya uongozi, usimamizi wa miradi, na utunzaji wa mazingira.

    Kuendesha programu za vijana na wanawake kwa lengo la kuwajengea uelewa wa fursa za maendeleo.

    c) Huduma za Ustawi wa Jamii

    Kuhamasisha jamii kuhusu lishe bora, afya ya uzazi, na mapambano dhidi ya magonjwa kama UKIMWI, malaria, na magonjwa yasiyoambukiza.

    Kusaidia makundi yenye uhitaji maalum kama wazee, watoto yatima, na watu wenye ulemavu.

    d) Huduma za Kilimo na Mazingira

    Kuelimisha wakulima kuhusu mbinu bora za kilimo hai na utunzaji wa ardhi.

    Kukuza miradi ya upandaji miti na uhifadhi wa mazingira.

    Kusaidia wakulima kupata mbegu bora na masoko ya mazao yao.

    e) Huduma za kijamii

    Kuratibu miradi ya maji safi na salama vijijini na mijini.

    Kushirikiana na taasisi zingine katika ujenzi wa miundombinu ya kijamii kama shule, zahanati, na ofisi za kijamii.

    f) Huduma za Utafiti, Ufuatiliaji na Tathmini za Miradi

    Kufanya tafiti za kijamii na kiuchumi kwa ajili ya kupanga miradi bora.

    Kufuatilia na kutathmini utekelezaji wa miradi yote ya maendeleo ili kuhakikisha ufanisi na uwajibikaji.

    Kama unataka kushirikiana nasi tumia njia zifuatazo:-

    Barua pepe : afisamaendeleo@anglicandvn.org

    Simu namba :

    Ofisi zetu zipo :(Nyamagana – Mwanza) DVN OFFICE.

    AFISA MAENDELEO – DVN:MR
  • IDARA YA VIJANA (TAYO) DAYOSISI YA VICTORIA NYANZA

    TAYO – Maana yake ni (Tanzania Anglican Youth Organisation)

    DIRA

    Huduma bora kwa Vijana wa Kanisa la Anglikana Tanzania Kiroho na Kimwili

    DHAMIRA

    Kuwa na Vijana waliokomaa kiroho, kiakili kimaono kwa ajili ya uendelevu wa Kanisa na jamii.

    MADHUMUNI YA TAYO

    Kuilinda na kuitunza Imani ya Kikristo.

    Kufanya uinjilisti, kwa kutumia vipawa tulivyopewa na Mungu kwa utukufu wa jina lake.

    Kuratibu na kusimamia shughuli zote za TAYO.

    Kuimarisha Amani, Upendo, na heshima kwa Vijana wote.

    Kushirikiana na Vijana wengine duniani.

    Kuboresha Afya ya uzazi, kwa kutafuta elimu sahihi ya maisha na kufanya kazi kwa juhudi na maarifa

    UANACHAMA WA TAYO

    Mkristo aliye na umri kati ya miaka 13-40.

    Mkristo aliyezidi miaka 40 anaweza kuendelea na uanachama isipokuwa hawezi kushika nafasi ya uongozi wa TAYO.

    Umoja wa vijana katika madayosisi yote watakuwa wanachama wa TAYO.

    Jumuiya nyingine zitakazokubaliana na muongozo huu.

    Mawasiliano Zaidi:

    Barua pepe : info@anglicandvn.org

    Simu namba :

    Ofisi zetu zipo :(Nyamagana – Mwanza) DVN OFFICE.

    MWENYEKITI WA IDARA YA VIJANA – DVN:Mwl .David Pondi
  • IDARA YA WANAWAKE(UMAKI)DAYOSISI YA VICTORIA NYANZA

    UMAKI – Maana yake ni Ushirika wa Wamama wa Kikristo, Idara ya UMAKI kazi yake ni kusimamia utekelezaji wamipango yote ya maendeleo ya kiuchumi, kijamii na kiroho katika jamii, UMAKI inafanya kazi kwa kushirikiana na Parishi zote na makanisa madogo. Pia UMAKI ni chombo cha Kanisa Anglikana Tanzania. Walengwa ni wanawake wote kuanzia ngazi ya tawi mpaka Dayosisi.

    DIRA

    Ni kuwa na jamii yenye maendeleo kiuchumi inayomjua Mungu na inayopata huduma zote za kiroho na kijamii.

    DHAMIRA

    UMAKI inadhamira ya kutoa huduma za kiroho na kulitambulisha Kanisa katika jamii. UMAKI inaratibu shughuli za maendeleo ya kiuchumi kwa kutoa Elimu ya miradi kwa wanawake kwa kutumia rasilimali zinazo wazunguka kwa lengo la kujenga jamii yenye mabadiliko chanya kiroho na kimwili.

    DHUMUNI LA UMAKI

    Kuwajengea wanawake uwezo na familiya zaokatika kushiriki kikamilifu katika utekelezaji wa shughuli za maendeleo kiroho na kimwili .

    MALENGO YA IDARA YA UMAKI

    Kuwafikia wanawake wote kwa Elimu ya neno la Mungu ili kulifanya kanisa kukua na kuongezeka.

    Kutoa huduma kwa wahitaji kwa kuzingatia mahitaji ya kiroho na kimwili, kwa wagonjwa , mahospitalini wajane na watoto yatima na kuwatia moyo wazazi katika malezi ya watoto.

    Kuwa na miradi endelevu na shirikishi toka ngazi ya Kanisa hadi ngazi ya dayosisi.

    UMAKI kuendelea kutoa Elimu kwa wanawake katika makanisa ili kuwajengea uwezo wa kuanzisha shughuli ndogondogo za kujipatia kipato Mf.ujasiliamali.

    UMAKI inaimarishwa na makusudi matano (5) ambayo msingi wake ni maandiko matakatifu kwaajili ya kugusa maisha ya watu kiroho na kimwili yaani huduma timilifu. (A wholistic ministry).

    Kama unataka kushirikiana nasi tumia njia zifuatazo:-

    Barua pepe : info@anglicandvn.org

    Simu namba :

    Ofisi zetu zipo :(Nyamagana – Mwanza) DVN OFFICE.

  • IDARA YA UHASIBU DAYOSISI YA VICTORIA NYANZA

    Idara ya uhasibu ni kitengo kinachosimamia masuala yote ya Fedha za Dayosisi kwa mwongozo wa sera ya Fedha, sera ya Utumishi na taratibu maalum za hesabu.

    DIRA

    Kuwa kitengo cha kuaminika na madhubuti katika kulinda Fedha za Dayosisi na kudumisha uwazi na umakini katika kutoa huduma.

    DHAMIRA

    Kuratibu na kusimamia kwa usahihi Fedha zinazoingia na kutoka kwa Dayosisi na Parishi.

    KAZI ZA IDARA YA UHASIBU

    Kuandaa bajeti ya mutumizi ya kawaida na matumizi ya maendeleo ya kila mwaka.

    Kufuatilia na kushauri kuhusu bajeti ya matumizi ya Dayosisi.

    Kutayarisha taarifa za Fedha za robo mwaka na mwisho wa mwaka.

    Kusimamia ukaguzi wa taarifa za fedha za kila Idara na Parishi.

    Kuhakikisha kwamba mapato yote ya Dayosisi yanakusanywa ipasavyo na kupelekwa Benki.

    Kulipa madai kwa wakati.

    Kuweka utaratibu wa kulinda Fedha za Dayosisi.

    Kusaidia shughuli zote zinazohusu ustawi wa wafanyakazi wa DVN.

    Kufanya kazi zote kama atakavyoelekezwa /agizwa na katibu wa Dayosisi.

    Kama unataka kushirikiana nasi tumia njia zifuatazo:-

    Barua pepe : tresurer@anglicandvn.org

    Simu namba :

    Ofisi zetu zipo :(Nyamagana – Mwanza) DVN OFFICE.

    MUHASIBU – DVN:
  • IDARA YA ELIMU DAYOSISI YA VICTORIA NYANZA

    Idara ya Elimu ni kitengo kinachosimamia masuala yote ya Elimu ndani na nje Dayosisi.

    DIRA

    DHAMIRA

    KAZI ZA IDARA YA ELIMU

    Kama unataka kushirikiana nasi tumia njia zifuatazo:-

    Barua pepe : info@anglicandvn.org

    Simu namba :

    Ofisi zetu zipo :(Nyamagana – Mwanza) DVN OFFICE.

    MRATIBU ELIMU – DVN:Rev Patrick Malusu
  • IDARA YA WATOTO (SUNDAY SCHOOL) DAYOSISI YA VICTORIA NYANZA

    Idara ya Watoto ni kitengo kinachosimamia masuala yote ya watoto ndani na nje Dayosisi.

    DIRA

    Kuhakikisha kwamba kila mtoto anaishi katika imani na kukua katika wokovu wa Yesu Kristo

    LENGO

    Lengo la kuanzishwa Idara hii ni kumwezesha mtoto kujifunza Neno la Mungu na kumjengea uwezo wa kujisimamia katika masuala yote ya Kiimani,Kiroho,Kiuchumi na Kimwili.

    KAZI ZA IDARA YA WATOTO

    Kumwezesha mtoto kupata Msingi madhubuti wa maisha ya sasa na ya baadaye.

    kumwezesha mtoto kujifunza Neno la Mungu na kumjengea uwezo wa kujisimamia katika masuala yote ya Kiimani,Kiroho,Kiuchumi na Kimwili.

    Kama unataka kushirikiana nasi tumia njia zifuatazo:-

    Barua pepe : info@anglicandvn.org

    Simu namba :

    Ofisi zetu zipo :(Nyamagana – Mwanza) DVN OFFICE.

    MWENYEKITI WA IDARA YA WATOTO – DVN:Ev. Sunday Samigwa

DVN Institutions

  • Isamilo International School

    Ni shule ya Kimataifa inayomilikiwa na Kanisa Anglikana Dayosisi ya Victoria Nyanza inapatikana Mtaa wa Balewa Mtaa wa Isamilo

    Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa njia zifuatazo:-

    Tovuti : Isamilo International school

    Barua pepe : enquiries@isamiloschool.org

    Simu namba : +255788403788

    Postal Adres :Balewa Road P.O. Box 42 Mwanza Tanzania.

  • Chuo cha Biblia Nyakato(Nyakato Theological College)

    Ni Chuo cha Biblia kinachotoa elimu ya Biblia kwa Ngazi ya Cheti na Diploma,kinapatikana Mtaa wa Nyakato Sokoni Jirani na Makaburi ya Nyakato Sokoni

    Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa njia zifuatazo:-

    Tovuti :

    Barua pepe :

    Simu namba :

    Postal Adres : P.O. Box Mwanza Tanzania.

    MKUU WA CHUO:Rev Damson Maganga
  • DEVELOPMENT PROJECT FOR ALL FOUNDATION

    Development Project for all Foundation is a voluntary, humanitarian, non-profit making, and non-governmental organization. It is a registered non-governmental organization in Tanzania with registration number 00NGO/R/06987. The Foundation acquired its status as a non-governmental organization on 25 May, 2024.

    MISSION STATEMENT

    Development Project for all Foundation is dedicated to save communities to overcome challenges and realize their full potential by implementing comprehensive and collaborative interventions in areas of development, health promotion, education advancement, environmental conservation and human right advocacy.

    OBJECTIVES

    To strength youth and women ability with entrepreneur skill to enable them to support livelihood of their families.

    To enhance financial literacy and management skills in the community.

    Empower disabled children and children living in hazardous circumstance in acquiring better education.

    o advocate for and facilitate access to clean water

    To promote quality health Services.

    To raise awareness on environmental conservation.

    VALUES

    The foundation is committed to:

    Ensuring that all people in rural or urban, have right to resources they need for sustainable development.

    Implementing projects according to the needs of the local communities.

    Providing community support that will have a very long-term positive effect on the social, economic and the environment.

    Encouraging communities to safeguard human right.

    For More Informations Contact Us through:

    Email : info@anglicandvn.org

    Phone :

    Adress :(Nyamagana – Mwanza) DVN OFFICE.

  • BUID PROJECT

    For More Informations Contact Us through:

    Email : info@anglicandvn.org

    Phone :

    Adress :(Nyamagana – Mwanza) DVN OFFICE.

Contact Us

Sign Up For Our News Letters

Connect With Us

Phone :+255 759 797 219 or +255 756 435 471

Email : info@anglicandvn.org

Physical Address : Kamanga Ferry,Nyamagana,Mwanza,Tanzania


©Diocese of Victoria Nyanza. All Rights Reserved | Design by TAYO Ilemela 2026